Mkurugenzi wa taasisi ya Tulia Trust Dr. Tulia Ackson akishirikiana na Shirika la Wheel Chair Foundition ametembelea Familia tano za watoto wenye ulemavu katika maeneo mbalimbali mkoani Mbeya na kuwapatia msaada wa baiskeli za kutembelea kwa lengo la kuwasaidia watoto hao wapate elimu kutokana na wengi wao kushindwa kwenda Shuleni kufuatia kuwa na changamoto ya kushindwa kutembea wenyewe hadi kufika shuleni.
Friday, August 23, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa amepiga mpira wakati wa Mashindano ya Gofu ya Mabunge ya Afrika Mashariki 2021, yan...
-
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana akisisitiza jambo wakati wa kikao na wakati na Katibu Mkuu Wizara ...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya kuaga mwili wa marehemu Midlaster Daniel Nsanz...
Powered by Blogger.


0 comments:
Post a Comment