Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu anayeshughulika Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu
Mhe. Jenista Mhagama akitoa hotupa wakati wa ufunguzi wa maonesho ya
nanenane katika viwanja vya Mwl. Julius Kambarage Nyerere Agosti 1, 2019
Mkoani Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Dkt.
Steven Kebwe akizungumza na washiriki pamoja na wakazi wa Morogoro
waliohudhuria hafla hiyo ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane katika Mkoa
huo.
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa hafla
hiyo.
Sehemu ya washiriki wa Maonesho
hayo na wananchi wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa maonesho ya
Nanenane 2019.
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB,
Morogoro Bi. Theofora Madilu akielezea huduma zinazotolewa na benki hiyo
kwa Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea banda la benki hiyo.
Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Dkt. Steven Kebwe.
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akitazama aina ya mtama alipotembelea banda la Wizara ya Kilimo katika
maonesho hayo ya Nanenane.
Kaimu Afisa Kilimo kutoka kwenye
Banda la Halmashauri ya Morogoro, Bi. Happifania Matafu akimfafanulia
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama aina ya tangawizi zinazozalishwa
katika Mkoa huo, alipotembelea banda hilo.
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akiangalia bustani ya Mboga alipotembelea banda la Halmashauri ya
Morogoro wakati wa maonesho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl.
Julius Nyerere.
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akiangalia akiangalia shamba dogo la mbaazi alipotembela banda la
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo.
0 comments:
Post a Comment