Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa
Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura, wakati Balozi huyo
alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo
Agost 09,2019 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
hapa Nchini. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa
Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Eugene Kayihura, wakati Balozi huyo
alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar Es Salaam leo
Agost 09,2019 kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
hapa Nchini.
0 comments:
Post a Comment