Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua moja kati ya nyumba 10 za Askari Polisi alizozifungua na
kukabidhi funguo kwa Askari waliopangiwa kuishi katika nyumba hizo mjini
Shinyanga, Agosti 9, 2019. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Shinyanga, Zainab Tellak na wa tatu kulia ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa
wa Shinyanga, ACP Richard Abwao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua moja kati ya nyumba 10 za Askari Polisi alizozifungua na
kukabidhi funguo kwa Askari waliopangiwa kuishi katika nyumba hizo mjini
Shinyanga, Agosti 9, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab
Tellak na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Jasinta
Mbaneko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipanda mti baada ya kufungua nyumba za makazi ya Askari Polisi mjini
Shinyanga, Agosti 9, 2019. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zaib Tellak. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Agosti 9, 2019 aliwakabidhi funguo za nyumba Askari Polisi 10 baada ya
kufungua nyumba za makazi yao mjini Shinyanga. Pichani, Mheshimiwa
Majaliwa akimkabidhi, Koplo Tegemea Masatu ufungua wa nyumba
aliyopangiwa kuishi. Katikati ni Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Shinyanga,
ACP Richard Abwao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

akizungumza baada ya kuzindua nyumba 10 za makazi ya Askari Polisi mjini
Shinyanga, Agosti 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment