Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo
Agosti 25, 2019 ameondoka nchini kwenda Japan kwa ziara ya kikazi ya
siku saba. Pichani, Mhe. Majaliwa akizungumza na Waziri wa Elimu,
Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) na Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Avemaria Semakafu (wapili kushoto)
kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya
kuondoka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sunday, August 25, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu anapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Tamko la Shiri...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bwana Gerald Kusaya akiangalia bamia zilizopandwa na Vijana wanaopata mafunzo katika kambi ya Mkongo leo tar...
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza Mtendaji Mkuu wa timu ya Simba mwanadada Barbra Gonzalez kwa ubunifu na uzalendo wa hali ya juu kwa ...
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Geoffrey Mwambe, akiwaongoza wataalamu kutoka Wizara hiyo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment