Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki
kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64
ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa
Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette
dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya
43 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
Saturday, August 17, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimkabidhi Tuzo pamoja na Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Ben...
-
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa minada ya kahawa kanda ya Mbeya-Songwe Leo tarehe 22 Agosti ...
-
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa ujenzi wa Barabara ya Kibaoni–Sitalike (km 70) ni muhimu katika kuchochea shughuli za kiuchum...
-
Na Mathias Canal, WAZOHURU MEDIA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali...
-
Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Jumbo Camera House, Mathias Luoga akionesha vifaa mbalimbali vya kamera wakati wa uzind...
Powered by Blogger.

0 comments:
Post a Comment