Habari
zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, lori la mafuta limelipuka
asubuhi hii Agosti 10, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua watu wasiopungua 54 wakati wakijaribu kuchota mafuta baada ya gari la kubebea mafuta kupata ajali mjini Morogoro.
Mashuhuda wanadai moto ulianza baada ya mtu mmoja kuchomoa battery ya gari na kusababisha cheche.
Habari kamili inakujia hivi punde.

0 comments:
Post a Comment