Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akipeana mkono na Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy, wakati
alipotembelea Piramidi mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. Tokea kushoto ni
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa
Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit (katikati) Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akishika jiwe lililotumika kujengea Piramidi, wakati alipotembelea
Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa
amepanda juu ya Piramidi, akionesha jambo wakati alipotembelea Piramidi
hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa
ndani ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo
Misri, Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa
anashuka kwenye Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini
Cairo Misri, Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akifurahia jambo, baada ya kutembelea Piramidi, mjini Cairo Misri, Julai
9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia bidhaa za wajasiriamali, baada ya kutembelea Piramidi, mjini
Cairo Misri, Julai 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akitembea nje ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo mjini
Cairo Misri, Julai 9.2019. kulia ni mwenyeji wake, Waziri wa Kilimo na
Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy, wakati alipotembelea
Piramidi hizo mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. Kulia ni Waziri wa Kilimo
na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment