
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu,akipata maelezo kwenye banda la
Usajiri wa Leseni na Biashara (BRELA) alipolitembelea banda hilo na
kujionea huduma inayotolewa katika sherehe za ufunguzi
wa Maonesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yaliyofanyika katika viwanja
vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda
na Biashara Prof.Buchweishaija akimsikiliza Mkurugenzi wa Miliki
Ubunifu BRELA Bi.Loy Mhando wa kwanza upande wa kushoto na (katikati) ni
Afisa habari na Mawasiliano Robertha Makinda alipotembelea banda la
Usajiri wa Leseni na Biashara (BRELA) katika Maonesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Afisa habari na Mawasiliano BRELA
Bi.Robertha Makinda,akiongea na wageni mbalimbali waliotembelea banda
la Usajiri wa Leseni na Biashara (BRELA) katika Maonesho ya 43 ya biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Emmanuel Kakwezi akimsikiliza mwananchi aliyetembelea banda
la Usajiri wa Leseni na Biashara (BRELA) katika Maonesho ya 43 ya
biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere
Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment