METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, July 5, 2019

MKUTANO MKUU WA 26 WA EACO WAFAANA JIJINI WMANZA

WAZIRI
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe (Mb), amefungua
Mkutano Mkuu wa  
Shirikisho la Tasisi za TEHAMA Afrika Mashariki (EACO) Jijini
Mwanza, Julai 5, 2019
.
Mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi wanachama za
Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini. Wakati wa ufunguzi huo pia wadau wa taasisi hiyo pia walishiriki.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (MB) (aliyesimama  akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Shirikisho la Tasisi za TEHAMA Afrika Mashariki(EACO) Jijini Mwanza, Julai 5, 2019. Wengine pichani katikati ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jones Killimbe  Mkurugenzi Mkuu, TCRA Mhandisi James M. Kilaba.
 Washiriki wakisikiliza hotuba ya Mhe. Waziri.
 Washiriki wakisikiliza hotuba ya Mhe. Waziri.
 Washiriki wakisikiliza hotuba ya Mhe. Waziri.
 Wadau wa sekta ya mawasiliano nchini.
 Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe (Mb), (wapili kulia), akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James M. Kilaba (kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya TCRA, Dkt. Jones Killimbe (watatu kulia) na Mtendaji Mkuu wa EACO, Dkt. Ally Simba.
 Meza kuu wakiwa wamesimama kwa heshima wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki.
 Picha ya pamoja.
  Picha ya pamoja.
 Kikundi cha Wachezaji Ngoma cha  BUJORA Kikibudisha Vongozi na Washiriki kwenye Mkutano Mkuu wa EACO, Mwanza
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe (MB) (wapili kulia)  akitoka baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Tasisi za TEHAMA Afrika Mashariki(EACO) Jijini Mwanza, Julai 5, 2019. Wengine pichani kutoka kulia, mwakilishi wa Katibu Mkuu (Mawasiliano) Bw.Mulembwa Manuku, Mkurugenzi Mkuu, TCRA Mhandisi James M. Kilaba na Mtendaji Mkuu wa EACO Dr. Ally Simba.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com