Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji na mwenyekiti wa mkutano wa 39 wa jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC utakaofanyika mwezi Agosti mwaka 2019 jijini Dar es salaam.
Mkutano huo utatanguliwa na vikao vya awali kwaajili ya maandalizi na kutangulia kwa wiki ya maonyesho ya bidhaa za ndani ujulikanao kama wiki ya viwanda ya SADC 22-26 Julai.
Mkutano huo utahudhuriwa na viongozi wa nchi 16 zinazounda jumuiya ya SADC.
Mara ya mwisho nchi ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo ilikuwa mwaka 2003 ambapo Rais Benjamini Mkapa alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo.
Wednesday, July 17, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy A. Mwalimu anapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Tamko la Shiri...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISIEMI Mhe. Sel...
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Geoffrey Mwambe, akiwaongoza wataalamu kutoka Wizara hiyo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempongeza Mtendaji Mkuu wa timu ya Simba mwanadada Barbra Gonzalez kwa ubunifu na uzalendo wa hali ya juu kwa ...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment