
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza maandamano kwa
Wahitimu wa Mahafali ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi
Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu
wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi Jijini Dar es salaam Luteni
Jeneral Paul Peter Massao wakati wa Mahafali ya Saba ya Chuo Hicho leo
Julai 27, 2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo kwa
Wahitimu wa Mahafali ya Saba wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi
Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan akikmabidhi Cheti Zhao Zishun kutoka China ambae ni Mmoja kati ya
Wahitimu wa Mafali ya Saba ya Chuio cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi
Jijini Dar Es salaam.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Brigedia
Gegeral Mbaraka Naziad Mkeremy wa JWTZ Mmoja kati ya Wahitimu wa
Mahafali ya Saba ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi Jijini Dar es
salaam leo Julai 27, 2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na CDF
Mstaafu George Waitara walipokutana kwenye Mahafali ya Saba ya Chuo cha
Taifa cha Ulinzi Kunduchi Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumpongeza
Mindi H. P. Kasiga Mmoja kati ya Wahitimu wa Mahafali ya Saba ya Chuo
cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi Jijini Dar es salaam leo Julai 27, 2019.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
0 comments:
Post a Comment