


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na wachezaji wa timu ya soka ya Namungo, baada ya
kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi Julai 30, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo
Julai 30, 2019 amekabidhi mipira ipatayo 30 kwa timu ya soka ya Namungo.
Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akimkabidhi kocha Mkuu wa timu ya Namungo
FC Hitimana Thierry , moja kati ya mipira hiyo baada ya kuzungumza na
wachezaji kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi. Wa pili kushoto ni Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya
Lindi Mjini,na kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Shaibu Ndemanga. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment