
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa mkoa wakati alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa Lindi akiwa njiani kwenda jimboni kwake Ruangwa kwa mapumziko
mafupi, Julai 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akisalimiana na viongozi wa kata ya
Nanganga wakati alipowasili kwenye Shule ya Msingi ya Nanganga wilayani
Ruangwa akiwa katika mapumziko mafupi jimboni kwake, Julai 27, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akizungumza na wananchi katika viwanja
vya Shule ya Msingi ya Nanganga wilayani Ruangwa, Julai 27, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment