NA K-VIS BLOG, RUFIJI
UJENZI wa mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya mto
Rufiji (RHPP), unaendelea kwa kasi ambapo Kaimu Kamishina wa Umeme na
Nishati Jadilifu Mhandisi Innocent Luoga amesema Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania inautekeleza mradi huo kama ilivyo ahidi.

Mhandisi Luoga ameyasema hayo
kwenye eneo la mradi(site) Julai 4, 2019 wakati wa ziara yake aliyoifanya kwa
pamoja na Naibu Waziri wa Nyumba na maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhandisi
Mahmoud Fahmy Nassar.

Kampuni ya
Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka
nchini Misri ndizo zinatekeleza ujenzi wa mradi huo.

Mradi wa umeme wa maporomoko ya
Mto Rufiji utakuwa na uwezo wa kufua umeme Megawati 2,115.

“Huu ni moja ya miradi
mikubwa ambayo Serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wake Rais wa Jamhuri
Dkt. John Mgufuli inatekeleza na kusimamiwa na wazawa (Watanzania) wenyewe.”
Alibainisha Mhandisi Luoga.

Alisema tayari manufaa ya mradi
huo yako bayana ambapo watanzania elfu 10,000 wamefaidika na ajira zikiwemo za
moja kwa moja kwenye mradi lakini pia za watoa huduma kwa wakandarasi na
wajenzi wa mradi huo.

Naye Naibu Waziri wa Nyumba na
Maendeleo ya Makazi wa Misri Mhandisi Mahmoud Fahmy Nassar alisema mradi wa Rufiji
utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa mwezi Juni 2022.

Alisema, Serikali ya Misri
imekuwa ikipata taarifa kuhusu utekelezaji wa mradi na ndiyo maana ameamua kuja
kujionea na wao kama Serikali Wameridhika na maendeleo ya utekelezaji wake.

Aidha
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Dkt. Tito Mwinuka ambaye naye
alikuwepo katika ziara hiyo aliwahakikishia Watanzania kuwa TANESCO
imehakikisha eneo hili la mradi linabaki salama kwa maana ya utunzaji wa
mazingira.
“Jiografia
ya eneo hili ni miamba, eneo ambalo litakuja kujazwa maji kwa ajili ya
kufua umeme kingo zake ni miamba na mteremko mkali kwa hiyo kitaalamu
sio maeneo ambayo yanakaliwa na Wanyama.” Alisema Dkt. Mwinuka.
Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhandisi
Mahmoud Fahmy Nassar (watatu kushoto), Kaimu Kamishina wa Umeme na
Nishati Jadilifu Mhandisi Innocent Luoga (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Mhandisi Dkt. Tito Mwinuka (wakwanza kushoto), wakiwa na wakandarasi kutoka kampuni za Arab Contractors na Elsewedy za Misri wakiwa eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya mto
Rufiji (RHPP) wa megawati 2, 115 wakati w aziara ya viongozi hao eneo la mradi Julai 4, 2019.

Mahmoud Fahmy Nassar (wakwanza kushoto) na Kaimu Kamishina wa Umeme na
Nishati Jadilifu Mhandisi Innocent Luoga (wapili kushoto), wakimsikiliza mkandarasi kuhusu maendeleo ya mradi.

Ujenzi ukiendelea eneo la mradi
Mashine zikichimbua miamba na majabali huku malori yakipeba mawe.
Dkt. Luoga (mbele) akifuatana na Meneja Miradi wa TANESCO Mhandisi Stephen Manda, (katikati)
Naye Naibu Waziri wa Nyumba na
Maendeleo ya Makazi wa Misri Mhandisi Mahmoud Fahmy Nassar(wapili kulia) akitembeela eneo la mradi.

Picha ya mshikamano baina ya Tanzania na Misri.
Meneja
Miradi TANESCO Mhandisi Stephen Manda (kushoto), akizungumza na
waandishi wa habari kwenye eneo la mradi (site), kuhusu utekelezaji wa
mradi huo Julai 4, 2019.
Picha ya pamoja
0 comments:
Post a Comment