Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua maji baada ya kukabidhiwa kisima cha maji cha kijiji cha Nandagala ‘B’ kilichojengwa kwa ufadhili wa Ubalozi wa Uturuki nchini Juni 3, 2019. Kulia ni Muambata wa Ubalozi wa Uturuki anayeshughulikia masuala ya jamii nchini, Muhammed Cicek na kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Turkish Maarif Foundation, Oguz Hamza Yilmaz. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tuesday, June 4, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Kilimo Mhe Hasunga (Mb) Mwenye Tai, akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa kampuni mbalimbali zinazojihusisha na uzalish...
-
Pichani: Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, akizungumza na wakulima na wadau mbalimbali w...
-
WazoHuru Media - Arusha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli, amesema kwamba Wizara itachunguza na kuondoa changamoto ya rumb...
-
Na Saida Issa, Dodoma SERIKALI kupitiaTume ya Taifa ya Umwagiliaji inaendelea na kazi za upembuzi yakinifu na usanifu wa kina katika bonde l...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment