
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia mvinyo, katika banda la Benki ya Maendeleo (TIB), kwenye
Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma, lililofanyika katika ukumbi wa
Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Juni 27.2019. Tokea kushoto ni Meneja
Maendeleo ya Biashara (TIB), Joseph Chilambo na Mkurugenzi wa Mipango na
Mikakati (TIB) Patric Mongela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akioneshwa mkoba uliyobuniwa na Wajasiriamali wa Kitanzania na Meneja
Mzalishaji wa Fay Fashion Gregory Mlay, kwenye Kongamano la Uwekezaji
Mkoa wa Dodoma, lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini
Dodoma Juni 27.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi,
wakati akikagua mabanda, kwenye Kongamano la Uwekezaji Mkoa wa Dodoma,
lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Juni
27.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment