Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki Jumapili Uwanja wa El Sekka El Hadid mjini Cairo. Timu hizo zilitoka 1-1, huo ukiwa mchezo wa pili kwa Taifa Stars wa kujipima nguvu katika kambi yake nchini Misri kujiandaa na Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baadaye mwezi nchini humo, kufuatia kufungwa 1-0 na wenyeji wa michuano hyo, Mafarao Alhamisi. |
Monday, June 17, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
Na Faustine Ruta, Bukoba. Mchungaji King James wa Kanisa la Pentekoste Assemblies of God (P.A.G) kutoka Maeneo ya Ka...
-
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na Mwenyekiti wa MISATAN Tanzania, Bi. Salome Kitomari (hayupo pichani) p...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment