Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake
Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (katikati) akizungumza na ugeni
kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja huo(wote hawapo kwenye
picha) katika kikao kilichofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai
uzunguni Jijini Dodoma. Kushoto ni Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe.
Mukabalisa Donatille na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson
Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake
Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akizungumza na ugeni kutoka Bunge
la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja huo katika kikao kilichofanyika leo
nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Spika
wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille na kushoto kwake ni Naibu
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
Makamu Mwenyekiti umoja wa Wabunge
wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Suzan Lyimo, Katibu wa Umoja huo, Mhe.
Lolensia Bukwimba wakifuatilia mazungumzo baina yao na ugeni kutoka
Bunge la Rwanda uliofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni
Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 comments:
Post a Comment