RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na
Vijana wa Skauti kushoto Halima Ali Makame na kulia Lutfia Juma Ali,
baada ya kuwasili katika viwanja vya Mpira vya Maisara Suleiman Zanzibar
kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skatu Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Kambi ya
Mfano ya Skauti wakati wa maadhimisho ya Miaka 1-7 ya Skauti Tanzania
ziulizofanyika katika viwanja vya Maisara Suluiman, akimsikiliza Kijana
Jaffar Mohammed, akitowa maelezo ya michuro ya ramani ya Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Ndg. Alois
Zengwe akitowa maelezo ya Kambi ya Mfano ya Skauti wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya Skauti kutimiza Miaka 107 Tanzania tangu kuazishwa kwake
kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Alali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe
Juma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika eneo
lililotayarishwa kwa ajili ya kuyapokea maandamano ya Vijana wa Skauti
Tanzania katika viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar kushoto Mkuu wa
Skauti Tanzania Mhe. Mwatumu Mahiza na Kiongozi wa Skauti Bi. Amina
Clement Edward na kulia Makamu wa Rais wa Chama cha Skauti na Waziri wa
Elimu na Mafuzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
VIJANA wa Skauti Tanzania wakipita
kwa ukakamavu kwa mgeni Raism Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara
Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea maandamano ya
Maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yalioadhimishwa Kitaifa
Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea gwaride Maalum
la Vijana wa Skauti Tanzania kuadhimisha Miaka 107 zilizofanyika katika
viwanja vya Maisa Suleiman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Meza
Kuu wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
VIJANA wa Skauti wakitowa heshima wakati ukipigwa wimbo wa Taifa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa
hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania yaliofanyika
kataifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberia Ali Maulid, Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali
Hassan Mwinyi, Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
GharibBilal na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud, wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,
akihutubia hayuko pichani.
MKUU wa Skauti Tanzania Mhe Mwamtumu
Mahiza akizungumza na kutowa maelezo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya
Skauti Tanzania wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya
Maisara Suleiman Zanzibar.
MKURUGENZI wa Skauti Kanda ya Afrika
Ndg. Fedrick Kamakama akizungumza na kutowa Salamu za Skauti Duniani
wakati wa maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania zilizofanyika
Kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
MAKAMU wa Rais wa Chama Cha Skauti
Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe
Juma ,akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuhutubia hadhara
hiyo ya Maadhimisho ya Miaka 107 ya Sakauti Tanzania zilizofanyika
Kitaifa Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.
WAGENI Waalikwa na Vijana wa Skauti
Tanzania wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia
wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Skauti Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimvisha Nishani Mlezi
wa Skauti Tanzania Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi,
wakati wa hafla hiyo ya maadhimisho ya Miaka 107 ya Sjauti Tanzania,
zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
0 comments:
Post a Comment