Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz alipowasili
kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko
Vijibweni, Kigamboni, jijini Dares salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz
kuangalia Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo kabla ya
kuvizindua huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Ghala na Mitambo ya
kuchakata Gesi ya LPG vya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania huko
Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Nishati na Madini Dkt Medard
Kalemani, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas
Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na viongozi wengine wakikata utepe
kuashiria kuzinduliwa kwa Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni
hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na
viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa Ghala na
Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni,
jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na viongozi
wengine akifunia pazia kuashiria kuzinduliwa kwa Ghala na Mitambo ya
Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es
salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz
baada ya kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko
Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard
Kalemani, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas
Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
hiyo Bw. Hamisi Ramadhani wakisiliza maelezo ya namna mitambo ya
kuchakata gesi inavyofanya kazi wakati wa uzinduzi wa Ghala na Mitambo
ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es
salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mikono wananchi kwa furaga huku akiwa
na msichana baada ya kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya
Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited huko Vijibweni, Kigamboni, jijini
Dar es salam leo Juni 25, 2019.
0 comments:
Post a Comment