
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar,
Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein , Katibu Mkuu wa CCM
Dkt. Bashiru Ally, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Phillip Mangula wakiimba
wimbo wa Chama mara baada ya kuwasili ukumbini katika kikao cha Halmashauri
Kuu ya Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi
Ccm Taifa (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-
Zanzibar Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohhamed Shein wakati wa kikao
cha halimashauri kuu ya Chama hicho (NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo katika cha halimashauri kuu ya Chama hicho
(NEC) kilichofanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa
halimashauri kuu ya Chama Mapinduzi Taifa Mizengo Pinda mara baada ya kikao
cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam.June 27,2019

Wajumbe wa halimashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiimba
wimbo wa Chama mara baada ya kuwasili ukumbini Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika kikao cha
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment