
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wananchi wa kata ya Kilimani wilayani Kondoa kabla ya kuwasha umeme katika Shule ya Sekondari Bicha.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (katikati) akikata utepe kuashiria umeme kufika kwenye Shule ya Sekondari ya Bicha wilayani Kondoa.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akiwasha umeme katika Shule ya Sekondari ya Bicha iliyopo kata ya Kilimani wilayani Kondoa.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne katika Shule ya Sekondari ya Bicha mara baada ya kuwasha umeme.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akicheza na wananchi wa kijiji cha Kolo mara baada ya kuwasili kuwasha umeme katika Zahanati ya Kolo wilayani Kondoa.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wananchi katika Zahanati ya Kolo wilayani Kondoa kabla ya kuwasha umeme katika zahanati hiyo.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (katikati) akikata utepe kuashiria umeme kufika kwenye Zahanati ya Kolo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akiwasha umeme katika Zahanati ya Kolo iliyopo wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Kwayondu wilayani Kondoa huku akiwa ameshika kifaa cha umeme Tayari (UMETA) akiwapa elimu ya kutumia umeme huo kabla ya kuwasha umeme katika Kijiji hicho.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizindua umeme kuashiria kufika katika kijiji cha Kwayondu wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akiwasha umeme katika shule ya Sekondari ya Kwayondu iliyopo kijiji cha Kwayondu wilayani Kondoa Mkoani Dodoma.
………………….
0 comments:
Post a Comment