
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Harambee ya
kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika
Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni
370 zilichangishwa hapo hapo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye Jezi
Mpya ya Timu ya Taifa Stars ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Jezi hiyo
wakati wa Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo
Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla
ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi ya Shilingi
Milioni 10 kutoka kwa Viongozi wa CRDB Bank ikiwa ni mchango kwa Timu
ya Taifa Stars kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars
ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es
Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wachangiaji kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya
Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena
Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa
hapo hapo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
0 comments:
Post a Comment