Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mwenyekiti wa Msikiti wa Anwari uliopo Msasani jijini
Dar es salaam, Sheikh Alhaji Suleiman Mohammed wakati alipowasili
msikitini hapo kuswali Swala ya Eid El Fitr, Juni 5, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akishiriki katika Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwari, Msasani
jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza baada ya Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar,
Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Bw. Mohammed Iqbal Noray baada ya kushiriki Swala ya Eid
El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam, Juni 5,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kushiriki katika
Swala ya Eid El Fitr kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es
salaam, Juni 5, 2019. Kulia ni Mwenyuekiti wa Msikiti huo, Sheikh
Alhaji, Suleiman Mohammed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na watoto baada ya kushiriki Ibada ya Eid El Fitr kwenye
Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Juni 5, 2019., (Picha na
ofis ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment