
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua timu ya Mpira wa kikapu ya Benki ya NMB ambayo ilipambana na
timu ya Bunge katika mechi la Bonanza la Benki ya NMB na Bunge kwenye
uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Juni 22, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akirusha mpira wakati lipoanzisha mechi ya mpira wa kikapu ya Bonanza na
Benki ya NMB na Wabunge kati ya timu ya Bunge na NMB kwenye uwanja wa
Jamhuri jijini Dodoma, Juni 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wachezaji wa timu ya mpira wa
kikapu ya Bunge wakiwa wamejipanga kabla ya mechi kati yao na timu ya
Benki ya NMB kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 22, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment