Ofisi ya Makamu wa Rais
katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma leo imefanya usafi katika
eneo la Makulu jijini Dodoma kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji,
NEMC, Wadau mbali mbali wa mazingira pamoja na Wananchi wa Makulu.

Wananchi na Wadau wa Mazingira
wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Makulu, Dodoma ambapo taka za
mifuko ya plastiki zilipewa kipaumbele, zoezi hili liliandaliwa na Ofisi
ya Makamu wa Rais ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi
Umma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Wakazi wa Makulu jijini Dodoma
wakiwa na vifaa vyao vya usafi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine (hayupo pichani) kabla ya kuanza
kwa zoezi la usafi lililoratibiwa na Ofisi yake ikiwa Sehemu ya
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)

Wananchi na Wadau wa Mazingira
wakishiriki zoezi la usafi katika eneo la Makulu, Dodoma ambapo taka za
mifuko ya plastiki zilipewa kipaumbele, zoezi hili liliandaliwa na Ofisi
ya Makamu wa Rais ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi
Umma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe.
Patrobas Katambi akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali,
Wadau wa mazingira na Wananchi mara baada ya kumaliza zoezi la usafi
katika eneo la Makulu Dodoma, zoezi hilo liliratibiwa na Ofisi ya Makamu
wa Rais kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Dodoma ikiwa sehemu
ya kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu
wa Rais Balozi Joseph Sokoine (mwenye kofia) akiongoza watumishi wa
ofisi yake pamoja na wananchi wa Makulu, Dodoma kufanya usafi ikiwa
sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)

0 comments:
Post a Comment