Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe jijini Harare kabla ya
kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kurejea nyumbani
akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa
nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na
Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Majenerali wa Jeshi akiwa
na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson Mnangagwa katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe jijini Harare leo alhamisi
Mei 30, 2019 baada ya kuhitimisha ziara yake ya Afrika Kusini
alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril
Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya
ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi
Rais wa Zimbabwe Mhe. Dkt.
Emmerson Mnangagwa akipeana mikono na kuagana na Waziri wa Mifugo na
Uvuvi Mhe. Luhanga Mpina aliyeongozana na Rais Dkt. John Pombe Magufuli
katika ziara yake ya Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini
Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila
nchi jijini Harare leo alhamisi Mei 30, 2019
Rais wa Zimbabwe Mhe. Dkt.
Emmerson Mnangagwa akipeana mikono na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania
nchini Zimbabwe Bi. Joyce Makoye wakati wa kumsindikiza Rais Dkt. John
Pombe Magufuli alipohitimisha ziara yake ya Afrika Kusini alikohudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya
kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku
mbili kwa kila nchi jijini Harare leo alhamisi Mei 30, 2019. Wengine ni
Bi Alice Madele pamoja na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini humo Brigedia
jenerali
Abdallah M. Alphonce
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mwenyeji wake Rais wa
Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson Mnangagwa katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Robert Mugabe jijini Harare leo alhamisi Mei 30, 2019 baada
ya kuhitimisha ziara yake ya Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea
nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa
kila nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi
Diwani Athumani baada ya kutelemka kutoka katika ndege ya Shirika la
Ndege la Tanzania (ATCL) alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo alhamisi Mei 30, 2019
akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa
nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na
Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo alhamisi Mei 30,
2019 akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na
Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi.
Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitelemka kutoka katika ndege ya
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) alipowasili katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Mei 30,
2019 akitokea Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na
Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa kila nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mwenyeji wake Rais wa
Zimbabwe Mhe. Dkt. Emmerson Mnangagwa katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Robert Mugabe jijini Harare leo alhamisi Mei 30, 2019 baada
ya kuhitimisha ziara yake ya Afrika Kusini alikohudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea
nchini Namibia na Zimbabwe ambako alifanya ziara rasmi ya siku mbili kwa
kila nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kaimu Balozi wa Tanzania
nchini Zimbabwe Brigedia Jenerali Abdallah M. Alphonce na wafanyakazi wa
ubalozi huo Bi. Alice Madele na Bi Joyce Makoye katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Robert Mugabe jijini Harare, kabla ya kupanda ndege ya
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kurejea nyumbani akitokea Afrika
Kusini alikohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe.
Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea nchini Namibia na Zimbabwe ambako
alifanya ziara rasmi ya
siku mbili kwa kila nchi
0 comments:
Post a Comment