Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-
TAMISEMI mhe Selemani Jaffo akisisitiza jambo kwa Waziri mkuu wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa leo Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuriya
Muungano wa Tanzania mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo kwa wabunge leo
Jijini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa
Arusha mhe. Amina Mollel akisisitiza jambo leo Bungeni Jijini Dodoma
baada ya kipindi cha maswali na majibu.
Naibu Waziri wa Maji mhe. Jumaa
Aweso akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa wananchi
wote wanafikiwa na huduma ya maji leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi mhe.
Luhaga Mpina akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa
haki za wanyama zinazingatiwa.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akisisitiza jamb oleo Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
(Picha na MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment