METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, May 23, 2018

Waziri Dkt.Kigwangalla awasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake 2018/2019

Taarifa ya Hotuba ya Dkt.Kigwangalla
Tazama hapa Dkt.Kigwangalla akisoma Hotuba hiyo:
Wakuu wa Idara, Taasisi na Mashirika yaliyopo ndani ya Maliasili na Utalii wakiwa ndani ya Bunge wakifuatilia tukio hilo.
Waziri Dkt.Kigwangalla akiteta jambo na Naibu Wake Mh. Josephat Asunga muda mfupi kabla ya kusoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo ya Maliasili na Utalii, leo Mei 21,2018.
Dkt.Kigwangalla akisoma Hotuba hiyo ya Makadilio ya Majeti ya Wizara yake ya Maliasili na Utalii, leo Mei 21,2018
Wazirfi Dkt. Kigwangalla ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wilaya ya Nzega pamoja na Mbunge wa Nzega Mjini, Mh. Husein Bashe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Kigwangalla ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kutoka Wilayani Nzega ambao ni pamoja na Waheshimiwa Madiwani, Wenye viti, Matibu na Wenezi wa Chama cha Mapinduzi kwa tiketi ya CCM.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com