Meneja Mkuu Uendeshaji kutoka taasisi ya Tanzania Horticultural Association (TAHA), Simon Mlay akizungumza kwenye mkutano wa wanachama wa taasisi hiyo mkoani Mwanza, uliofanyika jana Machi 21, 2019 Jijini Mwanza.
Mkutano huo ulilenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo huduma za ugani, masoko, upatikanaji wa mikopo pamoja na
mikakati ya kuboresha huduma za kilimo kwa wanachama wa TAHA.
Na George Binagi
Meneja Mkuu Uendeshaji, Simon Mlay akizungumza kwenye mkutano huo.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA, Peter Ngongoseki akizungumza kwenye mkutano huo.
Loveness Rugiga kutoka TAHA akifafanua jambo kwenye mkutano huo.
Wanachama wa TAHA mkoani Mwanza wakifuatilia majadiliano kwenye mkutano huo.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA, Peter Ngongoseki (kulia), akimkabidhi cheti mwanachama wa taasisi hiyo baada ya kushiriki mkutano mkuu wa mwaka jana Jijini Arusha.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA, Peter Ngongoseki (kulia), akikabidhi cheti kwa mmoja wa wanachama wa taasisi hiyo.
Mwanachama wa TAHA akipokea cheti baada ya kushiriki mkutano mkuu mwaka jana.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA, Peter Ngongoseki (kulia), akikabidhi cheti kwa mmoja wa wanachama wa taasisi hiyo baada ya kushiriki mkutano mkuu mwaka jana.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TAHA, Peter Ngongoseki (kulia), akimkabidhi cheti mwanachama wa taasisi hiyo baada ya kushiriki mkutano mkuu wa mwaka jana Jijini Arusha.
Mwanachama wa TAHA akipokea cheti kwa furaha.
0 comments:
Post a Comment