Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Rais wa Kenya Mhe. William Ruto katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala nchini Uganda ambapo kuna mkutano wa Africa Now Summit 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Thursday, March 14, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Mbunge wa Jimbo la Vwawa (CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi...
-
Mhe Japhet Hasunga (Mb) Waziri wa Kilimo, akikagua ujenzi vihenge vya kisasa (Silos) na maghala ya kuhifadhia nafaka kabla ya kuzungumza ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Meneja Mwandamizi wa Mipango Mikakati wa Tanesco, Eng. Costa Rubagumya akitiliana saini mkataba na Mkurugenzi wa Kampuni ya Kampuni ya Lung...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
Powered by Blogger.



0 comments:
Post a Comment