METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, January 30, 2019

Mkurugenzi mpya Benki ya CRDB atambulishwa rasmi Jijini Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela (aliyesimama) ametambulishwa rasmi kwa wafanyakazi na wateja wa benki hiyo Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga.

Hafla ya kumtambulisha Mkurugenzi huyo aliyechukua nafasi ya Dkt. Charles Kimei imefanyika jana jioni (Januari 29, 2019), katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza ambapo Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB, Ally Hussein Laay alibeba jukumu la kufanya utambulisho huo.
Na George Binagi-BMG
Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB, Ally Hussein Laay akizungumza kwenye hafla hiyo.
Wageni mbalimbali wakiwemo wateja na viongozi wa CRDB pamoja na viongozi wa Serikali.
Wateja na wafanyakazi wa CRDB wakiwa kwenye hafla hiyo.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com