METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, November 25, 2018

RAIS SHEIN KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA UCHUMI WA BAHARI NCHINI KENYA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Salum Maulid Salum katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na wakuu wa Vikosi vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).


Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com