Naibu Waziri wa kilimo Mhe Innocent Bashungwa leo Jumatano Novemba 14, 2018 ametembelea Kiwanda cha kukamula mafuta cha Ilulu LTD kilichopo Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi.
Kiwanda hicho kilibinafsishwa kwa Gulaban Abasi ambapo uzalishaji wa mafuta umesimama.
Aidha, Familia ya Gulaban ina mpango wa kukirejesha kiwanda hicho serikalini.
0 comments:
Post a Comment