METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, November 26, 2018

MAZOEZI NI POPOTE KWA UMUHIMU WAKE NA AFYA YAKO KABLA NA BAADA YA MUDA WA KAZI




Mhe Omary Mgumba pichani  akiwa Mazoezini Mkoani Morogoro kwenye Milima ya Uluguru na Kwenye uwanja mdogo wa Mpira wa Mguu katika kutunza Afya pamoja na maandalizi ya Morogoro Marathon itakayofanyika Mokoani humo tarehe 02/12/2018.

Pia ni katika Maandalizi ya Kuwakilisha nchi kwenye Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki nchi Burundi siku za Mbeleni, manage nina nahodha msaidizi wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ndugai Boys).

Wito wake Mhe NWK kuwahasisha watanzania kuendelea kuitikia wito wa Mhe Makamu wa raisi Mama Samia Suluhu Hassani Kufanya Mazoezi kutunza afya zetu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com