METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, April 2, 2018

MKUU WA MKOA WA SIMIYU ANTHONY MTAKA AONGOZA WANASIMIYU KUSHAMBULIA JUKWAA LA TAMASHA LA PASAKA

1
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba kibao chake kipya cha “Lazima Wakae” khuku akicheza na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu huku likihudhuriwa na mashabiki lukuki wa mji huo.
23
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiendelea kuwateka mashabiki wake katika tamasha hilo lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri mjini Bariadi mkoani Simiyu.
4
Baadhi ya  mashabiki wa muziki wa injili wakiburudika wakati waimbaji wakifanya vitu vyao katika tamasha hilo.
56
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akicheza na Mc wa tamasha hilo MC Mwakipesile na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Simiyu pamoja na wasanii wa Rose Muhando katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
7
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akizungumza na wananchi katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
89
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akisalimia mashabiki akiwa na waimbaji pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Bariadi na mkoa wa Simiyu  katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
10
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akiwa na viongozi wenzake pamoja na waimbaji pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Bariadi na mkoa wa Simiyu  katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiy.
1112
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion  katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
13
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka  na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion  wakimisikiliza MC Mwakipesile alipokuwa akimkaribisha mkuu wa mkoa huyo  katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
14
Mwimbaji Dan M kutoka nchini Kenya akiimba na mashabiki wake katika tamasha hilo.
15
Mwimbaji Jesca Honore naye akafanya jambo katika tamasha hilo.
16
Picha zikionyesha baadhi ya mashabiki wakifuatilia tamasha hilo.
17 181920
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion akizungumza na watoto na vijana mbalimbali ambao walikuwa nje ya uwanja wakiwa hawana kiingilio katika tamasha hilo nambapo baadaye aliwakati tiketi na kuwagawia wakaingia kwenye tamasha.
21
Suifaeli Mwabuka akiimba na mashabiki wake.
2324
Joshua Mlelwa hapo hampigi mtu teke bali anacheza na mashabiki wake kama unavyowaona.
25
Moja ya Kwaya kitumbuiza katika tamasha hilo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com