METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, January 20, 2018

KAIMU MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI AMBAE PIA NI MKUU WA WILAYA YA KONGWA AFANYA KIKAO NA IDARA YA ARDHI MANISPAA YA DODOMA

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe Deo Ndejembi ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Ameiagiza Idara ya Ardhi Manispa ya Dodoma kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake kutoka ofisini na kutatua migogoro yote ya Ardhi ndani ya manispaa hiyo.

Pia amewaasa kufanya kazi kwa weledi mkubwa na kuacha kufanya siasa kwani wao ni wataalamu. DC amesema Dodoma inakuwa kwa haraka na inapata wageni wengi wapya kutokana na ujio wa Makao makuu na inabidi wawe tayari na mipango bora na kuitekeleza mipango kwa wakati.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com