Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mashavu Ahmad Fakir akihutubia wakati wa kutunuku vyeti kwa wahitimu wa Ngazi ya Shahada na Astashahada wa chuo hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Na Humphrey Shao

Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere , Prof . Shadrack Mwakalila akizungumza juu ya mipango ya chuo hicho wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika katika jengo la utamaduni la MNMA Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akikabidhi zawadi kwa Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mwaka wa masomo 2017

Baadhi ya wahitmu wa Shahada ya Maendeleo ya Jinsia ya MNMA Wakiwa wanasubiri kutunukiwa shahada zao wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliyofanyika jijini Dare s Salaam

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi waliofanya Vizuri.
0 comments:
Post a Comment