| Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya TPB wakichangia damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya Nov 11 mwaka huu . |
| Zoezi la kuchangia damu likiendelea ………. |
| Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika tamasha hilo la uchangiaji damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya Nov 11 ,2017. |
| Mkurugenzi shirika la WE CARE Bi, Elizaberth Maginga akizungumza katika Tamasha hilo la uchangiaji damu katika viwanja vya CCM Ruanda Nzovwe jijini Mbeya . |
| Zoezi la Uchangiaji likiendelea |
| Tpb benki wakisakata rumba |
| Benki ya TPB katika picha ya pamoja na Meza kuu.. |
| Vijana wa Boda boda katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TPB .Picha Mr pengo na JMblog |
0 comments:
Post a Comment