METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, November 7, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE

IMGT1859
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakipeana mikono baada ya Rais kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
_O4A6566
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
IMGT1938
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na viongozi wengine wakimsaidia kushika utepe anaoukata kama ishara ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
IMGT1974
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mzee Nekemia Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
IMGT1989
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijumuika katika sala na Mzee Nekemia Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto na binti yao  Lucy Kazimoto alipomtembelea kumjulia hali baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
IMGT2078
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa mjini Bukoba waliomsimamisha ili awasalimie wakati akirejea kutoka Karagwe kwenye  sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo lna Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Picha na Ikulu
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com