mashabiki wa bendi ya Mountimeru Ricker nest wakiwa wanapata burudani
Rappa wa bendi ya Mountimeru ricker nest njegere akiwa anafanya yake jukwaani
Mara
moja moja kujitokeza kushuhudia bendi sio mbaya apa mmiliki walibeneke
la kaskazini blog Woinde shizza katik kati nikiwa na mashabiki zangu
tukiendelea kuburudika na bendi hii
yalikuwa
ni mambo ya sebene tu ,ukifika jijini Arusha usiulize pa kwenda ni
Triple a klabu tu kwa burudani za aina yote kuanzia vinjwaji ,disco la
nguvu pamoja na live band kutoka bendi ya Mounti meru Ricker nest Music
(picha na Woinde Shizza,Arusha )
katika bendi hiii pia kuna wadada wa kike nikimaanisha wanenguaji hapa wakifanya yao
0 comments:
Post a Comment