Mgeni Rasmi Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, wabunge wa jimbo la Morogoro mjini na morogoro kusini mashariki CCM, wajumbe wa kamati ya siasa Morogoro mjini na vijijini, Wenyeviti na Makatibu wote wa CCM Wa Wilaya za morogoro mjini na vijijini, Wenyeviti na makatibu wa Jumuia za CCM Mkoa.
Kaimu Katibu Mkuu Shaka amemnadi na kumuombea kura Mgombea wa udiwani kwa tiketi ya CCM Jamila Taji ambapo pia aliwapokea wanachama wapya zaidi ya 30 kutoka vyama vya CUF na Chadema.
0 comments:
Post a Comment