METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, November 5, 2017

KWA Sasa Record ya BEI KUBWA YA KOROSHO inashikiliwa na MKOA WA LINDI!

Jana Tarehe 04/11/2017 Mnada wa Chama cha MWAMBAO LINDI bei imefika Tsh 4,065 kwa kilo moja ya KOROSHO ikiwa ni Bei ya Juu zaidi KWA misimu yote ya KOROSHO toka NCHI HII IPATE UHURU KWA hesabu ya uwiano wa Nguvu ya Shillingi dhidi ya Dollar!

Kabla ya hapo Record ya Karibuni ilikuwa ya TUNDURU Tsh 3,975 kabla ya Kuvunjwa na MAMCU inayohudumia Wilaya za NANYUMBU, Masasi,Mtwara mjini na Vijijini ya Tsh 3,985 ambayo haikudumu hata SAA MOJA na Kuvunjwa na TANECU inayohudumia Wilaya za TANDAHIMBA na Newala KWA Tsh 4,007 !

MINADA YA KOROSHO BADO INAENDELEA HUENDA TUKASHUHUDIA RECORD MPYA ZIKIENDELEA KUJITOKEZA!

KWA Pamoja hatuna Budi kumpongeza na Kumshukuru saaana Mheshimiwa RAIS Dkt. JOHN JOSEPH MAGUFULI na Timu yake ambayo hailali kuhakikisha Mnyonge ananufaika na JASHO lakE !

" Tulianza na MUNGU tutamaliza na MUNGU "

#HaPaKaZi Tu

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com