Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu,
Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la
Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akijadiliana jambo na
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai alipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai akipokea barua ya ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Bunge lma Nchi
za Kiarabu, anayekabibidhi barua hiyo ni Mjumbe Maalum wa Rais huyo,
Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud wakati alipomtembelea leo Ofisin kwake
Mjini Dodoma.
Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la
Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akipokea zawadi ya
kinyago kutoka kwa Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai walipokutana na
kufanya mazungumzo leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment