Binagi Media Group
Serikali mkoani Mwanza imejizatiti vyema kuhakikisha kwamba hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali inatosheleza mahitaji wa wananchi.
Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi amesema hali ya upatikanaji wa dawa za msingi mkoani humo ni zaidi ya asilimia 95 na kwamba zinatosheleza uhitaji uliopo.
Thursday, October 26, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Na Immaculate Makilika – MAELEZO, Makete Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh...
-
Mkufunzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Juma Mswadiku (kulia) akifafanua jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wat...
-
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeongeza jitihada katika kudhibiti uvamizi wa visumbufu hatarishi, ikiwemo kwelea...
-
Kibanda cha mlinzi katika Chuo cha VETA Uyui mkoani Tabora ambacho kimejengwa kwa gharama ya sh.milioni 11. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment