
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa
uchumi kati ya Afrika na Urusi (Russia -Africa Economic Forum)
wakimsikiliza Rais wa Urusi, Vladmir Putin wakati alipohutubia mkutano
huo kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi chini Urusi, Oktoba 23, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais wa Urusi, Vladimir Putin
akihutubia katika Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Urusi (Russia
-Africa Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi nchini
Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais
wa Zimbabwe, Emmerson Mnagangwa na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
(kulia) wakimsikilza Rais wa Urusi, Vladimir Putin wakati
alipohutubia katika Mkutano wa uchumi kati ya Afrika na Urusi
(Russia -Africa Economic Forum) kwenye Kituo cha Olympic Park, Sochi
nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment