Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakisaini Mkataba
wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora
(Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakibadilishana
Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora
(Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakionyesha kwa
waandishi wa habari Mkataba wa ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka
Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29,
2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
Masanja Kadogosa akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa
mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma).
Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hawa
Ghasia akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa
ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa
hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Baadhi
ya Wahandisi kutoka kampuni ya Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya
nchini Uturuki wakifuatilia hafla ya utiaji saini saini wa mkataba wa
mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma).
Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Baadhi ya Wafanyakazi kutoka shirika la Reli Nchini (TRL) na kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
wakifuatilia hafla ya utiaji saini saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi
wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo
ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi) Dkt.
Leonard Chamuriho akizungumza akizungumza katika hafla ya utiaji saini
wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro-
Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa
akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya Ukandarasi ya Yapi
Merkezi Insaat ya nchini Uturuki, Erdem Ariogl pamoja na Kaimu Balozi
wa nchini hiyo Yunus Belet wakati wa utiaji saini wa mkataba wa mradi wa
ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa
hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza
katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya
kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.
(PICHA NA MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment