Kikundi cha burudani ya
Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of
Kenya kikitoa igizo lake la kuchekesha mbele ya washiriki mbalimbali wa
Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini
Kampala, Uganda.
Kikundi cha Sanaa cha Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni Tanzania (TaSUBA) kikionyesha igizo lake mbele ya
washiriki mbalimbali toka nchi wanachama wa Tamasha la Utamaduni na
Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) ambapo igizo hilo likimaanisha namna
gani nchi hizo zinavyopaswa kuonyesha ushirikiano wa karibu katika
masuala mbalimbali kwa manufaa ya nchi zote za Jumuiya ya Afrika
Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM, KAMPALA-UGANDA)
0 comments:
Post a Comment