METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, February 8, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWAMAAFISA WAPYA 128 WA JWTZ

Bendi ya Chuo cha Kijeshi cha Monduli (TMA), ikiwaongoza Maafisa Wanafunzi 128 wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) waliomaliza mafunzo yao katika Chuo hicho, ambao leo Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Pombe Magufuli aliwatunuku kamisheni  katika chengazi ya Luteni Usu, hafla ambayo ilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020. 
Maafisa Wanafunzi 128 wa jeshi la wananchi (JWTZ) wakimsubiri Amiri Jeshi Mkuu, Rais  Dkt. John Pombe Magufuli ambaye hii leo aliwatunuku kamisheni katika ngazi ya Luteni Usu, hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020, ambapo kati ya hao 108 ni Wanaume na 20 ni wanawake. 
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika Hafla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020, ambapo kati ya hao 108 ni Wanaume na 20 ni wanawake. 
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la Maafisa Wanafunzi 128 wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) waliomaliza mafunzo yao na kutunukiwa kamisheni katika ngazi ya Luteni Usu ambapo kati ya hao 108 ni Wanaume na 20 ni wanawake
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli akitoa zawadi kwa Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) waliofanya vizuri katika masomo mbalimbali wakati wa mafunzo, Maafisa 128 wa JWTZ leo wametunukiwa kamisheni ngazi ya Luten Usu katika Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020. 
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli, akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 128 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) waliomaliza mafunzo yao katika Chuo cha Jeshi Monduli, Maafisa 128 wa JWTZ leo wametunukiwa kamisheni ngazi ya Luten Usu katika Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020. 
Baadhi ya Maafisa Wanafunzi  wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), wakiapa mara baada ya kutunukiwa kamisheni ngazi ya Luteni Usu katika Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Maafisa Wanafunzi 128 walitukiwa cheo hicho huku wanaume wakiwa 108 na wanawake 20.
Gwaride la Maafisa Wanafunzi 128 wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), wakiondoka uwanjani mara baada ya kutunukiwa kamisheni ngazi ya Luteni Usu, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020.

Kikundi cha Ngoma kutoka Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa Makutupola Jijini Dodoma, kikitoa burudani katika hafla ya kutunuku kamisheni ilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Februari 8, 2020. 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com